Wimbi la joto kali limezikumba nchi kadhaa za Ulaya Magharibi na kusababisha serikali kutoa tahadhari za hatari kwa wananchi.
Shirika la Afya Duniani, WHO limerekebisha tathmini yake ya hatari ya virusi vya Ebola kutoka "juu" hadi "juu zaidi" ndani ya ...
Mashambulizi ya Marekani dhidi ya mji wa bandari wa Bandar Abbas kusini mwa Iran yameibua wasiwasi mpya kuhusu hatima ya mpango wa usitishaji vita.
Wapatanishi wa Pakistan wanaongeza juhudi za kufufua mazungumzo ya amani kati ya Marekani na Iran. Waziri wa Mambo ya Nje wa ...
Whitman katika taarifa yake amesema amefanikiwa kuendeleza miradi ya manufaa kwa Kenya na Marekani ikiwemo vita dhidi ya ugonjwa wa Mpox na kuleta wawekezaji wa Marekani kuja nchini Kenya. Na Ambia ...
Spika wa bunge nchini Senegal El Malick Ndiaye, ametangaza kujiuzulu, uamuzi ambao unaiweka nchi hiyo kwenye sintofahamu ya kisiasa.
BAADA ya kufanya majaribio kwa wiki mbili katika timu ya Goztepe ya Uturuki, mshambuliaji kinda wa KMC, Juma Sagwe amesema kwa sasa yuko nchini akisubiri majibu.
Mwaka 2025 uliendelea kuthibitisha nguvu ya mitandao ya kijamii katika kuibua sura mpya za umaarufu, hasa barani Afrika. Watu binafsi waliweza kujijengea majina makubwa kupitia ubunifu, uhalisia na ...
Nchini Uganda, wabunge leo Jumatatu, wanatarajiwa kumchagua Spika mpya, baada ya kuapishwa wiki moja iliyopita, kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Januari mwaka huu.
IRINGA: Mkoa wa Iringa umepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya 29 ya Wiki ya Maziwa nchini yanayofanyika kuanzia Mei 25 hadi Juni 1, 2026 katika Viwanja vya Mwembetogwa mjini Iringa, huku w ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results